Beka Ibrozama

Bio

Naitwa Bakari Hassan Mselem, jina la usanii najulikana kama Beka Ibrozama.
Nimezaliwa Tanzania katika mkoa wa Dar-es-salaam na kabila langu ni mmwela kutoka kusini mwa Tanzania mkoa wa kilwa wilaya ya Lindi.
Nilianza sanaa yangu ya kuimba (muziki)nikiwa shule ya msingi darasa la sita mwaka 2005 na nyimbo yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2008 ilijulikana kama NATUMAINI nilio washirikisha BARNABA na AMINI wakati huo nikiwa sekondari kidato cha pili na nyimbo hiyo haikufanya vizuri kabisa.
Mwaka 2010 nikatoa remix yake ambayo nilionganisha mashahili ya nyimbo tofauti tofauti zisizo pungua 20 kuwa nyimbo moja,na nyimbo hiyo ndio ilinipatia jina na kunitambulisha katika ulimwengu wa muziki na jina langu kuwa kubwa sana Tanzania na Afrika mashariki na kati pia ikanifanya kujenga historia kuwa msanii pekee niliejaza klabu maarufu Dar-es-salaam hiitwayo kama CLUB BILLICANAS nikiwa na nyimbo moja na rekodi hiyo mpaka leo haijawahi kuvunjwa na msanii yoyote.
Hapo ndipo safari yangu ya muziki iliianza rasmi na ilinipa matumaini makubwa nikanz kutoa nyimbo mfurulizo kama :-.
-Mbali, Mahabuba, Changanya, Kidanift Jolie.
Mwaka 2011 - NARUDI KAZINI.\par
Mwaka 2012 - MZAZI MWENZANGU.
Mwaka 2013 - COME BACK.\par
Baada ya hapo nikapunzika miaka mitatu kwa ajili ya kujiandaa na muziki wa live na mwaka 2017 nikafanikiwa kuanzisha bandi yangu ya muziki ilijulikana kama SPIDOCH BAND na mwaka 2018 tukafanikiwa kutoa nyimbo mbili zilijulikana kama KANGAROO NA MWANZA.\par
Mwaka 2020 nikatoa nyimbo nne nikiwa nje ya band nazo zilijulikana kama

Photos

TZDar es Salaam, Tanzania
Opérationnel depuis: 
2005

Contact

+255718041918
+255718041918
Mbwana Mtulia

Followers (2)